Usajili mpya nbcpl tanzania

 Leo tarehe 07/07/2023 klabu ya simba sports imemtambulisho mchezaji wake mpya akitokea klabu ya asec mimosas ya nchini ivory coast

Vijana hao wa msimbazi wamemsajili kiungo winga huyo ili kuziba nafasi ya aliyekuwa mchezaji wao Augustine okrah aliyekuwa akitokea nchini Ghana.

Comments